JINSI YA KU DOWNLOAD VIDEO YOUTUBE BILA KUTUMIA SOFTWARE YOYOTE HILE


Kama utakua unaangalia video youtube na umeipenda na ungependa kuiangalia mda mwingine unaotaka suluhisho ni kupakua video hiyo. Kwa sababu kuendelea kuiangalia mara kwa mara youtube huweza kugharimu MBs nyingi na wakati mwingine zile MBs unazotumia kuangalia video ni hizo hizo ndizo ungezitumia katika kupakua (download). Hii ni njia mojawapo ya kupakua video youtube bila ya kuweka program yoyote ya kupakulia. Fungua browser yako Kisha andika youtube.com baada ya hapo search video unayoitaka. Yatakuja majibu ya videos nyingi kisha chagua moja ambayo unaamini ndio unayoitaka. Kipindi video ikiendelea kucheza nenda kwenye website ya hiyo video (mfano url kama hii www.youtube.com/watch?v=7D5GeuuBFSI). Baada ya hapo futa www. na uandike ss kwa hiyo url yako itakuwa 'ssyoutube.com/watch?v=7D5GeuuBFSI' kisha bofya 'enter'. Subiri kidogo baada ya hapo utaona maelekezo ya kuchagua aina ya video (mp4,flv,WebM,3GP,...) unayotaka. Utachgua na hapo itaendelea kuji-download. au Watu wengi sana wamekuwa wakivutiwa na video wanazo angalia kupitia mtandao wa YouTube na kutaka kudownload ila wanashindwa kufanya hivyo, zifuatazo ni hatua zitakazo kuwezesha kudownload video yeyote kutoka kwenye mtandao huu wa YouTube : FUATA HATUA HIZI. 1. ingia YouTube . com 2. Chagua vdeo unayoitaka then iclick., wakat inajiandaa kuplay angalia juu utaona URL (yan http//www.youtube.comxasgjhmmrssn// huu ni mfano tu) 3. Nenda kwenye hiyo URL kisha edit kwa kuongeza ss au 9x mfano http//www.youtube.comxyzk isomeke Http//www.9xyoutube.comxyzk Au Http//www.ssyoutube.comxyzk alafu kama ni computer click ENTER. 4. Itafunguka ukurasa mpya ambayo utaona imekuletea formats mbalimbali za hiyo video yani Mp4, MPG, MP3 Na nyingne nying. 5. Chagua MP4 kwa kuclick kama unataka video kisha utaona inaanza kudownload. NB kama utatumia 9x hizo fomats zitakuwa chini. Kama utatumia ss hzo video fomats zitakuwa kulia.

Commentaires

Posts les plus consultés de ce blog

Zijuwe sharti za google adsense

VITA VYA DUNIA HISTORIA YA MBAVU MOYA

Unakaribishwa we mgeni wa ulimwengu wa mtandao