Articles

Affichage des articles du avril, 2020

Kwa nini kuna shimo lisilo la kawaida katika tabaka la ozoni?

Image
Tangu 2011 hakujawahi kuwa na tukio kama hilo. Tangu robo ya mwaka uliopita, shimo lisilo la kawaida lenye urefu wa kilomita 18 lilijitokeza angani katika tabaka la ozoni ya eneo la kaskazini zaidi la dunia la Arctic, kama ilivyoripotiwa na shirika la anga za juu la ulaya CAMS wiki iliyopita. Tukio kama hili ni la kawaida katika eneo la kusini zaidi la dunia la Antarctic wakati wa msimu wa joto, lakini katika eneo la baridi la kaskazini si la kawaida. Uchunguzi wa tabaka la ozoni ni muhimu kwa sababu inatulinda dhidi ya miale mikali ya ya jua duniani. Katika eneo hilo ardhi na milima iliopo inaathiri mabadiliko ya hali ya hewa ili vipimo vya joto visishuke kama ilivyo katika eneo la Antarctic. Hata hivyo maeneo mengi ya eneo la Arctic yameandikisha rekodi ya vipimo vya baridi ndogo zaidi mwaka huu huku tabaka la ozoni ya anga ya eneo la Arctic ikiathiriwa kwa urefu wa kilomita 18. Tangu msimu wa joto wa 2011, hakujawahi kutokea uharibifu wa tabaka la ozoni wa kiwango kama hich

Coronavirus: Kwa nini shirika la afya duniani linasema hatua ya kujishika uso ni hatari kwa maisha yako?

Image
Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii WhatsApp Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Twitter Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES Image caption Sote hushika macho, mashavu. kidevu na mdomo mara kadhaa kila siku Kati ya tabia zote zinazotutofautisha na wanyama duniani kitu kimoja kinatutia wasiwasi wakati wa milipuko ya magonjwa. Sisi ndio spishi inayoweza kushika nyuso zetu bila kugundua. Na hilo linasaidia kusambaza magonjwa kama vile coronavirus Covid-19. Kwanini tuna tabia hiyo na ni hatua gani tunayoweza kuchukua ili kuisitsha? Idadi ya waliopoteza maisha kutokana na coronavirus yaongezeka Italia Je, ni taarifa gani feki zinazoenezwa Afrika kuhusu coronavirus? Marufuku kupeana mikono, busu katika nchi hizi 'Kushika uso' Sote tunashika nyuso zetu mara kadhaa. Utafiti uliofanywa 2015 ambao uliangazia wanafunzi wa matibabu nchini Australia ulibaini kwamba hawawezi kujizuia. Pengine wanafunzi wanaojifunza masuala ya matibabu wanapaswa k

VITA VYA DUNIA HISTORIA YA MBAVU MOYA

Image
SHUJAA TOKA TARAFANI FIZI Wakati huu wa kumbukumbu la Vita vya Kwanza vya Dunia (Première Guerre mondiale ) vya 1914-1918 ambavyo uitwa pia "Vita vikuu" (Grande guerre),tumkumbuke afisa (officier) shujaa toka Fizi wa Force Publique ya Congo-Belge,1er Sergent Major Mbavu Ndogo Michel (wengine wanamwita Mbavu Moya). Kwa mwaka wa 1916, Ubeljiji (Belgique) iliamua kufukuza Wajermani katika inchi zao za ukoloni hasa Urundi (Burundi, kwa leo) na Tanganyika (Tanzania, kwa leo).Kamanda Mkuu wa Force Publique aliitwa Jemadari Charles Henri Marie Ernest Tombeur. Sergent Mbavu Ndogo alikua kamanda wa kikosi kilichoitwa "Brigade du sud ". Le 6 juin 1916, alivamia Usumbura (Bujumbura, kwa leo) na kufukuza wa Allemands, chini ya uongozi wa afisa mbeleji Lieutenant-Colonel Frédérick Olsen.Tarehe 27 juillet 1916, Sergent Mbavu Ndogo kazibiti Kigoma. Le 28 juillet 1916, akakamata Ujiji. Le 19 septembre 1916 akazibiti Tabora chini ya uongozi wa Général Tombeur. Le 9 octobre 1916,

Virusi vya Corona: Vifo vyazidi 2,000 kwa siku moja Marekani

Image
Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya pichaREUTERS Image caption Friji zilizobebwa kwa trela zinatumiwa kama mahali pa kuhifadhia maiti mjini New York City Marekani imekua nchi ya kwanza duniani kurekodi zaidi ya vifo 2000 vya virusi vya corona kwa siku moja. Takwimu kutoka Chuo Kikuu cha Johns Hopkins zinaonyesha kuwa watu 2,108 wamekufa katika kipindi cha saa 24, huku kukiwa sasa na zaidi ya watu nusu milioni walioambukia virusi hivyo nchini Marekani. Marekani hivi karibuni inaweza kuipita Italia kwa idadi zaidi ya vifo vinavyotokana na virusi hivyo kote duniani. Lakini Mtaalamu wa Ikilu ya White House kuhusu Covid-19 anasema mlipuko unaanza kuwa wa kiwango cha chini kote nchini Marekani. Dokta Deborah Birx anasema kuwa kuna ishara nzuri za kupungua kwa mlipuko, lakini akaonya kuwa : "Licha ya kwamba matokeo yanaweza kutia moyo, hatujafikia kilele cha maambukizi."