HUSII KWA MWANAO


Mwambie mwanao kwamba siku alipo kuja duniani alikuja akilia kwa sauti huku watu wakimzunguka wakiwa wanatabasamu, Hivyo basi anapaswa kuishi na watu vizuri kiasi kwamba siku atakapo ondoka Duniani watu watakuwa wanamzunguka wakilia kwa sauti huku yeye akiwa anatabasabu
Mfundishe kipimo cha utu wake ni kazi hivyo afanye kazi kwa maarifa yake siku zote za maisha yake.
Mwambie afanye kazi kwa lengo na kujituma kiasi kwamba salio ya account yake ifanane na namba yake ya sim, na ili hayo yaho yawezekane mwambie awe na nidhamu ya pesa na ajenge utamadumu wakutunza pesa na wakujiwekea akiba, katika hili ahinge kutafuta pesa asihige matumizi mwambie mwanao ahipende pesa kwa vitendo sio kwa hisia ; kila mtu hapa Duniani anahisia kwamba ipo siku atafanikiwa ila mwanao ipata hiyo bahati ni wale wanao ishi kwa malengo kujituma na kuangaika hakuna siku mbingu itafunguka na mikate ishuke kutoka hangani.
Akuna dhambi mbaya kama uoga, mwambie mwanao hata siku moja asije kuogopa kudai deni lake na kutoka hili msisitize kwamba akifanya kazi ambayo inazalisha pesa na mwisho asipate chochote ajuwe dhahiri ya kwamba ajumi ya kwamba kuna mtu amepata. Na akiwa ameajiriwa atumie kipato chake kwa malengo na kwa umakini sana.
Asije akafanya kazi ili apate pesa anunue gari ili awayi kazini atachelewa sana. Mwambieanunue vituvinavyo zalisha pesa inje ya ajira ili siku moja aweze kujitegemea kiuchumi, mwambie mwanao mwenyezi Mungu amempa akili il atumie kutatuwa akili yake na akiitumia vibaya atatengeneza matatizo zaidi kuliko kuhitatuwa.utakapo kuwa unaongea naye naomba umwambie asiwe na tama ili ya kutamani (vitu vya watu) maisha ya watu wengine kwa sababu ni gumu kujuwa uwalisia wake “sisi binadamu ni kama mwenzi tunaupande wagiza na upande mwenye mwanga”
Siku zote watu uwa na upande wenye mwanga tu , upande wenye giza ubakikuwa ubaku daima kuwa siri tu na kuomba mfundishe mwanao namna ya kufikiri na si nini ya kufikiri, ili kesho na keshokutwa asiwe na fikra ndogo kama kenge anaye kimbia manyunyu ya vua na kuindia ndani ya mto ila asirowe  na zaidi ya apo usiache kumfundisha akili za watu na matendo yao katika mwitikio zaidi ya mambo na hipo umwambie hivi mjinga ajuwi kitu na anajuwa kama ajuwi, mshenzi anajuwa anajifanya kama ajuwi na mpumbavu yeye ajuwi anajifanya anajuwa mwambie siku zote mwanao lalamika jinsi mpira unavyo dunda mara nyingi ni wawo hawo wanao udundisha. Mwambie kuishi na watu ni kazi kubwa inaitaji umakini sana na ili afanikiwe katika hilo kamwe asijali maneno mabaya yaw ala zaidi yake kwani awezi kuzuia matu wasiseme ila unaweza kuzuuria mdomo wako usiseme, mwambie mwanao atakapo simama mbele ya makundi ya watu siku zote ni vigumu sana kukubalika na watu wote na nivigumu pia kuchukiwa na watu wote
Mf: atakapo simama mbele ya watu 100% watu 15 watampenda kabla hajafanya chochote na watu 15 watamchukia kabla hajafanya chochote na 70 watampenda au kukuchukia kutokana na kile atakacho kifanya, mwambie kamwe awezi kupendwa na watu wote na kuchukiwa na watu wote pia matatizo ni sehemu ya maisha yake kwani hata zahabu upitisha mtoni kabla haija ng’aa akiona matatizo ina mwandama ajuwe neema inakaribia na hata wa Swahili walisema ukiona giza linazidi njuwe kuna karibia kupambazuka.
Maisha yana furaha na matatizo  na maisha yana raha kwa sababu ya matatizo mwambie mwanao uchungu wa nyanya ndore ndio utamu wake  mwambie kuna namna 2 za kukabiliana na changamoto
Kwanza ni kuyatatua changamoto
Kubadilika yeye. Ili aendane na changamoto na hapo mkumbushe kwamba mara nyingi mtu unaposhindwa kutamka neno huwa inakulazimu fufikiria sentence mpya  ili tu kulempuka neno.
Hayo yote ninayo kuambia ndugu yangu naomba umfundishe mwanao siyo kungoja ulimwengu ifundishe mwanao watu siku hizi si mwema tena hawana upendo kama zamani Mf: unaweza kufanya arambe ya kufanya ujenzi wa kuongelea (bwawa) na mtu akakuletea ndoo moja ya maji kama mchango wake; mwambie asiwanyemee watu wengi mambo yake ya msingi kwahivyo basi jambo lolote anaweza kulifanya mwenyewe asisubiri afanyiwe na watu na usite kumwambia kwamba chanzo cha furaa yake ni yeye mwenyewe akiwa na mazoweya ya kutengemea watu wengine ndio wawe chanzo cha furaha yake inaweza kuwa kinyume na furaa yake utakapo kuwa unamwambia maneno haya usisahau kumkumbusha kujifunza na kujaribu kufanya vitu vingi katika maisha yake.
Ni heri kufanya na kujutia baadae kuliko kujuta kutokukifanya mwambie elimu bora ahipatikani shule tu ajifunze elimu ya mitahani pia, kuwa na marafiki wengi ila kuwa na  marafiki wabaya ni bora kuwa peke yake.
Mwambie marafiki atakaye wachanguwa na kuwa kama wao ndio tasura yake yaani atakuwa kama wao na kamwe asijadili matatiyo yake na watu waliyo shindwa kutatuwa yakwao yapo mambo mengi sana nilitamani umwambie lakini mda si rafiki sana kwa leo na saaa umwambie hayo na ikiwa atakuuliza ma swali yoyote kuusu haya niliyo kuambia basi nipigie sim +255 744 531 691 na kama atakuuliza kuusu mapenzi au mausiano au ndoa umwambie asubiri wiki moja ili udadisi naye ila kwa leo akikuuliza mapenzi ni nini? Mjibu kwaufupi sana kwamba mapenzi ni hisiya zinazo umiza ambazo hazichoshi na akikuuliza njia ya kumpata mchumba anaye kufaa kwa ufupi sana. Mcumba mzuri achukuliwi ila anachaguliwa na akikuuliza ndoa ni nini? Hapo sasa badilisha lugha ili mtoto asikuelewe, mpendwa kwa kuwa wewe ni binadamu yameandaliwa
Email: amurimboko5@gmail.com
Tel:  +255 744 531 691

Commentaires

  1. 1. Considérez que vous étés en stage dans une société-pastorale de la place on vous demande de prélever les relever zootechniques des bovin “NDAMA” comment allez-vous procéder concrètement ?
    2. En visite dans une caféiculture, avec vos amis du quartier ou localité, vous trouvez une jeune plantation d’une année dans la quelle vous constates certaines tiges non aoûtée courbées vers le sol.
    Par cotre, il ya aussi des jeunes gourmandes arques, les amis veulent savoir les noms et le pourquoi de ces méthodes ?
    3. Devenu technicien agronome qualifie, vous créez votre propre entreprise vous contactez un banquier qui place votre capital de 240.000 FC en 75 jours dans sa banque, il vous rapporte 3.500 FC d’intérêt à que taux le banquier a place votre capital.

    RépondreSupprimer
  2. 1. Considérez que vous étés en stage dans une société-pastorale de la place on vous demande de prélever les relever zootechniques des bovin “NDAMA” comment allez-vous procéder concrètement ?
    2. En visite dans une caféiculture, avec vos amis du quartier ou localité, vous trouvez une jeune plantation d’une année dans la quelle vous constates certaines tiges non aoûtée courbées vers le sol.
    Par cotre, il ya aussi des jeunes gourmandes arques, les amis veulent savoir les noms et le pourquoi de ces méthodes ?
    3. Devenu technicien agronome qualifie, vous créez votre propre entreprise vous contactez un banquier qui place votre capital de 240.000 FC en 75 jours dans sa banque, il vous rapporte 3.500 FC d’intérêt à que taux le banquier a place votre capital.

    RépondreSupprimer

Enregistrer un commentaire

karibuni vijana wenzangu tushirikiane na kuongoozana

Posts les plus consultés de ce blog

VITA VYA DUNIA HISTORIA YA MBAVU MOYA

Unakaribishwa we mgeni wa ulimwengu wa mtandao

Zijuwe sharti za google adsense