Unakaribishwa we mgeni wa ulimwengu wa mtandao
Siku zote ni vigumu sana mgeni kuja na kuzijuwa njia mbazo wenyezi wanazitumia kwa kufanikiwa kwenye inshu zao
Ili we ngeni uweze kufanikiwa ni lazima uwe bega kwa bega na mwenyeji akuoneshe njia zote wanazo zitumia
Ila si kila mwenyeji ambaye anaweza kukuonesha njia ya mafanikio bali atakuambia usiikate tamaa pambana tu
Usije ukamchukiaga kamwe mtu ambaye anakupa moyo wa kutafuta bali mchukie Yule anaye kukatisha tama
Anaye kupa moyo hata uki fails atakuambia labda kuna sehem ambayo ulikosea kwaiyo rekebisha tu na utafanikiwa basi nawaomba wageni wote wa ulimwengu huu wa mambo ya internet basi kuwa huru kuhuliza swali lako wala usiwe mwoga uliza chochote ambacho kiahusiana na internet ili tukiandalie some ambalo utaweza kujifunza na kujuwa tupo kwaajili yako maana kupiti swali lako utawafungua nawengine macho karibu VIJANA A
Tembelea link hizo utajifunza mengi kijana mwenzangu
www.amurimboko.blogspot.com
www.ushauriwavijana.wordpress.com
www.vijanaa.com
Commentaires
Kwanini unajibana kwa ujanja wako mwenyewe
Na wewe usiye juwa kwanini usihulizi ili yule anaye juwa naye akuelekeze?
Unafikiria aliye wekaga semeh ya comment alipurupuka kuhiweka?
Alitumia akili
Follow me Amuri2you all social media