Articles

Affichage des articles du mai, 2020

Vidokezo 10 na templeti za kuunda akaunti yako ya Instagram

Instagram ni moja wapo ya majukwaa bora ya kukuza chapa na biashara. Kama msimamizi wa jamii, ni dhahiri kwako kujua jinsi ya kuchanganya viungo sahihi ili kuwa na mwingiliano wa hali ya juu na watumizi wako. Walakini na mamilioni ya ujumbe ulioshirikiwa kila siku, lazima ufikirie nje ya boksi kupata umakini wao. Wanadamu kwa asili ni viumbe vinaonekana sana. Katika ubongo yenyewe, mamia ya mamilioni ya neuroni hutumiwa kwa usindikaji wa kuona, karibu 30% ya kort nzima, ikilinganishwa na 8% kwa kugusa na 3% kwa kusikia. Wauzaji ambao wamejaribu kuunda picha za media za kijamii zenye nguvu wanajua jinsi ugumu na utumiaji wa wakati unavyoweza kuwa. Mimi sio mtaalam, lakini nilijifunza mengi juu ya kuunda taswira ya media ya kijamii baada ya miaka mingi ya mazoezi (na pamoja na makosa yao!). Na ninafurahi kushiriki na wewe templeti mpya ninazozipenda za kubuni, vidokezo na kanuni kukusaidia kuboresha taswira zako. Kwa hivyo bila ado zaidi, wacha tuendelee na safari yetu ya kuu...

La pratique du mariage précoce porte préjudice aux filles Le gouvernement devrait fixer à 18 ans l'âge minimum du mariage

– Le mariage des enfants en Tanzanie limite l'accès des filles à l'éducation et les expose à de sérieux préjudices, a déclaré Human Rights Watch dans un rapport publié aujourd'hui. Human Rights Watch a documenté des cas dans lesquels des filles étaient mariées dès l’âge de sept ans. Le gouvernement devrait fixer à 18 ans l'âge minimum du mariage pour les filles et les garçons, comme une première étape vers l'éradication du mariage des enfants et l’amélioration de la vie des filles et des femmes. Le rapport de 75 pages, intitulé « ‘No Way Out’ : Child Marriage and Human Rights Abuses in Tanzania » (« ‘Aucune échappatoire’ : Le mariage des enfants et les violations des droits humains en Tanzanie »), documente la façon dont le mariage des enfants limite considérablement l'accès des filles à l'éducation, et les expose à l'exploitation ainsi qu’à la violence – notamment le viol conjugal et les mutilations génitales féminines (MGF) – et les risques en mat...

Tanzania: Ndoa za Utotoni Zadhuru Wasichana Weka Miaka 18 Kama Umri Mdogo wa Kuoa au Kuolewa

– Ndoa za utotoni ndani ya Tanzania inapunguza upatikanaji wa eliumu kwa wasichana na inawaweka hatarini kupata madhara makubwa, Human Rights Watch imesema kwenye ripoti iliyotolewa leo. Human Rights Watch imenukuu kesi ambapo wasichana wenye umri wa hata miaka saba wanaolewa. Serikali inapaswa kuweka miaka 18 kuwa umri mdogo kwa wasichana na wavulana kama hatua ya kwanza katika kutokomeza ndoa za utotoni na kuboresha maisha ya wasichana na wavulana. Ripoti hiyo ya kurasa 75, “‘Hakuna Jinsi’: Ndoa za Utotoni na Ukiukwaji wa Haki za Binadamu ndani ya Tanzania,” imenukuu jinsi ndoa za utotoni zinavyozuia upatikanaji wa elimu kwa wasichana, na kuwaweka hatarini kufanyiwa unyanyasaji na ukatili – ikiwemo kubakwa ndani ya ndoa- na hatari ya afya ya uzazi. Human Rights Watch imepima mapengo kwenye mfumo wa hifadhi ya mtoto ndani ya Tanzania, ukosefu wa hifadhi kwa wahanga wa ndoa za utotoni, na vipingamizi vinavyowakabili wasichana wakijaribu kupata haki, pamoja na mapungufu kwenye sher...

MASWALI YA KUJIULIZA KABLA YA KUOWA

1 Maswali Kuhusu Mambo ya Msingi. 1.Je! Mmejuana kwa muda gani? 2.Mmekuwa pamoja kwa kiasi gani? 3.Mlikutanaje? 4.Mmefanya mambo gani mkiwa pamoja? 5.Je! Familia zenu na rafiki 6.wanafikirije kuhusu uhusiano wenu? 7.Wanaonyesha wasiwasi wao kuhusu nini? 8.Mngetaka kuoana lini? 9.Nini masharti ya kisheria ambayo 10.lazima yatimizwe? 11.Nini wasiwasi wako unapofikiri 12.kuingia katika ndoa na huyu? Je! Kwa 13.sasa anakutendaje? 2) Maswali Kuhusu Maisha ya Kiroho 1.Je! Wote wawili ni waaminio? 2Kor 6:14-16 nuru haipaswi kuwa na giza. 2.Je! Mnakuwa katika imani? Kuna 3.ushahidi gani kuwa ni kweli? 4.Je! Mnatabia gani? 5.Je! Mnakubaliana kuhusu mamlaka ya maandiko na itikadi kwa ajili ya maisha yenu? Namna ya kutendeana, na kuwalea watoto (Ef. 5:21-6:4; Kol. 3:17-21; 1Pet. 3:1-7). 6.Je! Mnajua kinachofundishwa na Biblia kuhusu ndoa? 7.Je! Mmeomba kuhusu uamuzi huu? 8.Mtakuwa mnaabudu wapi? 9.Mnatazamia kusaidiaje katika kanisa hilo? 3) Kwanini mtu asiingie kwenye ndoa na mtu...

Unakaribishwa we mgeni wa ulimwengu wa mtandao

Image
Siku zote ni vigumu sana mgeni kuja na kuzijuwa njia mbazo wenyezi wanazitumia kwa kufanikiwa kwenye inshu zao Ili we ngeni uweze kufanikiwa ni lazima uwe bega kwa bega na mwenyeji akuoneshe njia zote wanazo zitumia Ila si kila mwenyeji ambaye anaweza kukuonesha njia ya mafanikio bali atakuambia usiikate tamaa pambana tu Usije ukamchukiaga kamwe mtu ambaye anakupa moyo wa kutafuta bali mchukie Yule anaye kukatisha tama Anaye kupa moyo hata uki fails atakuambia labda kuna sehem ambayo ulikosea kwaiyo rekebisha tu na utafanikiwa basi nawaomba wageni wote wa ulimwengu huu wa mambo ya internet basi kuwa huru kuhuliza swali lako wala usiwe mwoga uliza chochote ambacho kiahusiana na internet ili tukiandalie some ambalo utaweza kujifunza na kujuwa tupo kwaajili yako maana kupiti swali lako utawafungua nawengine macho karibu VIJANA A Tembelea link hizo utajifunza mengi kijana mwenzangu www.amurimboko.blogspot.com www.ushauriwavijana.wordpress.com www.vijanaa.com