HUSII KWA MWANAO
Mwambie mwanao kwamba siku alipo kuja duniani alikuja akilia kwa sauti huku watu wakimzunguka wakiwa wanatabasamu, Hivyo basi anapaswa kuishi na watu vizuri kiasi kwamba siku atakapo ondoka Duniani watu watakuwa wanamzunguka wakilia kwa sauti huku yeye akiwa anatabasabu Mfundishe kipimo cha utu wake ni kazi hivyo afanye kazi kwa maarifa yake siku zote za maisha yake. Mwambie afanye kazi kwa lengo na kujituma kiasi kwamba salio ya account yake ifanane na namba yake ya sim, na ili hayo yaho yawezekane mwambie awe na nidhamu ya pesa na ajenge utamadumu wakutunza pesa na wakujiwekea akiba, katika hili ahinge kutafuta pesa asihige matumizi mwambie mwanao ahipende pesa kwa vitendo sio kwa hisia ; kila mtu hapa Duniani anahisia kwamba ipo siku atafanikiwa ila mwanao ipata hiyo bahati ni wale wanao ishi kwa malengo kujituma na kuangaika hakuna siku mbingu itafunguka na mikate ishuke kutoka hangani. Akuna dhambi mbaya kama uoga, mwambie mwanao hata siku moja asije kuogopa kudai deni lake n...