Usiyatumie haya mafuta
Kuna mafuta ya Ngazi(mawese)yanaitwa ZOMI kutoka Ghana kama muko nayo musiyapiye tena yamu ndani kemikali inayoitwa SUDAN DYES hiyo nikemikali ambayo inatumiwa kugeuza vitu mfano utaona iko mawese kumbe sio mawese.Tarifa hii ni kweli na yamepimwa Swise na wakatowa onyo na mimi nimeiona.Jaribu kuwambia watu wote uwajuwayo wajie pushe nayo kuanzia sasa.Mimi mwenye niko nayo.
Commentaires